Hunour & Laughter are not just the best medicine but comprises a great part of the tour guiding tasks. Either you:
- listen sheepishly to passengers cracking jokes and just manage to put on a false smileor
- you laugh your head off from their jokes or
- you send them reeling on their backs, holding their ribs!!
Its your choice. Modifying jokes to your liking and circumstances can be fun. We will help you do just that!
1. Ruka Mto! na …….
Guide alikuwa na group la wazungu mlimani.
Siku ya mwisho, porter akaumwa na hivyo hakukuwa na mtu wa kubeba tent la guide.
Walipofika kileleni ikabidi Guide alale hema moja na mzungu msichana.
Lakini wakaweka mto kati yao!
Asubuhi wakati wanateremka wakakuta kidaraja kimechukuliwa na mvua kubwa iliyonyesha usiku. Mambo yakawa hivi:
Guide: C’on! Let’s jump! Am a very good jumper!
Msichana: Nyoo! Usiku si umeshindwa kuruka mto wewe!
Kumbe alikuwa anajua kiswahili!